Kampuni ya simu TECNO kupitia ukurasa @tecnomobiletanzania inawakambusha wateja wa simu za TECNO kuhusiana na promosheni ya VIMBA. TECNO inawataka wateja wote wa TECNO kununua TECNO Camon 17 na Spark 7 katika msimu huu wa kampeni ya VIMBA. Kampeni hii ya VIMBA itadumu hadi tarehe 13/8/2021 na kwa kipindi hiki chote wateja wa simu za TECNO wataingia katika droo la bahati na sibu na mshindi kuondoka na zawadi ya gari.

Baadhi ya zawadi nyengine zimeorodheshwa kuwa ni jokofu na pikipiki lakini pia kuna zawadi za papo hapo kama earbuds, smartwatch na Radio speaker usiache kutembelea maduka ya TECNO katika msimu huu wa promosheni ya Vimba kwani kama ilivyo ada pia utauziwa simu hizo mbili kwa punguzo la bei.

TECNO Camon 17 na TECNO Spark 7 ni matoleo mapya kwa mwaka huu wa 2021 kutoka TECNO ambapo TECNO Camon 17 inaendelea kushikilia taji la simu yenye selfie kali duniani ikiwa na MP48 na 4k Video resolution na sifa nyengine ni processor ya Mediatek Helio G95, 5000mAh na MP64 za kamera ya nyuma ikiwa na black and white mode kwajili ya kuchukua filamu katika ubora stahiki.

TECNO Spark 7 ni moja kati ya simu za TECNO yenye bei rafiki unachokipata kutoka Spark 7 ni zaidi ya unacholipia TECNO Spark 7 ni yenye kuchukua picha simu yenye wigo mpana wa kioo cha inch 6.52HD+ na MP16 za kamera ya nyuma na flash 4 lakini pia simu yenye ujazo mkubwa wa 5000mAh na hii kuifanya TECNO Spark 7 simu sahihi kwa mwanafunzi mwenye kutumia mda mwingi kujisomea mtandaoni. 

https://www.tecno-mobile.com/tz/home/#/ 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...