Mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Dkt. Oscar Kikoyo akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea, kuchambua na kujadili taarifa ya msajili wa hazina kuhusu uwekezaji katika mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge leo Agosti 16, 2021 Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Kamati wa kamati hiyo, Bi. Amina Salumu

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea, kuchambua na kujadili taarifa ya msajili wa hazina kuhusu uwekezaji katika mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jana Agosti 16, 2021 Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...