Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kuwasili Nangurukulu mkoani Lindi ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Katibu Mkuu ameongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Christina Mndeme akizungumza mara baada ya kuwasili Nangurukulu mkoani Lindi ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika ziara hiyo Naibu Katibu Mkuu ameongozana na Katibu Mkuu pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 8 katika Kijiji cha Namichiga, Kata ya Namichiga Wilayani Ruangwa, Lindi ikiwa siku ya kwanza ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...