Bei ya Nanasi kwenye Soko la Goba Wilaya ya Ubungo mkoa Dar es Salaam leo Septemba 02,2021 linauzwa kati shilingi. 1000 hadi shilingi 3500/=
Bei ya Tikitikiti Maji kwenye Soko la Goba Wilaya ya Ubungo mkoa Dar es Salaam leo Septemba 02,2021 ni kati ya Shilingi 1000 hadi Shilingi 4500. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV) Wauzaji wa Matunda kwenye Soko la Goba wilaya ya Ubungo wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wateja wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji la Ilala Mkoa wa Dar es Salaam kama wanayoonekana pichani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...