MAONESHO ya pili ya Biashara (China-Africa Economic and Trade Expo) yatafunguliwa kesho jijini Changsha, katika Jimbo la Hunan. Maonesho hayo ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ya kukuza mauzo ya bidhaa za Afrika katika soko la China.Bidhaa mbalimbali kutoka kwa Makampuni 38 ya Tanzania zitaoneshwa katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya China-Africa Economic and Trade Expo yatakayofunguliwa kesho jijini Changsha, Hunan. Bidhaa hizo ni pamoja na korosho, ufuta, kahawa, mvinyo na madini ya Tanzanite.
Home
HABARI
MAKAMPUNI 38 YA TANZANIA YAONESHA BIDHAA KWENYE MAONESHO YA BIASHARA YA CHINA-AFRICA ECONOMIC AND TRADE EXPO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...