Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Watendaji wa Serikali wa Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa hiyo, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
Rais wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahor Masoud akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mikoa Miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba.
Home
HABARI
MATUKIO
RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA WATENDAJI KATIKA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE YA MIKOA MIWILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...