02-03-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bagamoyo Mkoani Pwani leo
Sept 02,2021 alipowasili katika Eneo la Uvuvi Bagamoyo kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha
Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...