Baadhi ya wawakilishi kutoka Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa wakifutilia maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Union
for Multiparty Democracy Bw. Moshi Kigandula(hayupo pichani) wakati wa zoezi la
uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji wa Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili
wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es
Salaam. Kutoka kushoto
ni wajumbe wa kikosi kazi cha zoezi la uhakiki wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa, Bibi. Chevu Sepeku, Bibi. Edna Assey na Khadija
Wanjara wakifanya wakikagua rejista ya wanachama wa Chama cha Union for
Multparty Democracy (UMD) wakati wa zoezi la uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji
wa Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es Salaam.Baadhi ya wawakilishi kutoka Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa wakifutilia maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Union
for Multiparty Democracy Bw. Moshi Kigandula(hayupo pichani) wakati wa zoezi la
uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji wa Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili
wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es
Salaam. Wawakilishi wa Kikosi Kazi cha zoezi la Uhakiki
kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD) mara baada ya
kukamilisha zoezi la uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji wa Sheria
zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es Salaam. (Picha na: ORPP).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...