Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha ya siku moja ya kuongeza uelewa wanawake juu ya dawa zilizokuwa chini ya kiwango na feki.Picha na Makame Mshenga.
Mfamasia kutoka tasisi ya utafiti wa Afya Zanzibar Salma Saleh Mussa akichangia mada na kuiyomba tasisi husika kutoa elimu kwa watoa huduma za afya juu ya dawa feki.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja ya uelimishaji wanawake juu kuongeza uelewa kuhusu dawa zilizokuwa chini ya kiwango na feki wakifuatilia kwa kina mada zilizowasiliswa na watoa mada katika warsha hiyo.
Mkuu wa Divisheni ya ukaguzi wa dawa na ufatiliaji (ZFDA) Amne Nassor Issa akiwasilisha mada ya ushajihishaji na taaluma kwa wanawake juu ya dawa zilizokuwa chini ya kiwango na feki katika warsha iliyofanyia Hoteli ya Verde Maruhubi.
Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Dkt. Burhan Othman Simai akifungua warsha ya siku moja ya ushajihishaji wanawake juu ya uelewa wa dawa za kiwango cha chini na feki katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Verde Maruhubi Mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...