Na Khadija Seif, Michuzi Tv.
Msanii Maarufu kutoka nchini Nigeria Victor AD, ambaye anafanya vizuri Na Ep yake ya “Nothing to prove” amemshirikisha LAVA LAVA katika single yake “JOANA”
JOANA Ni wimbo wa mapenzi unaoteka hisia chanya ambao tayari umeachiwa katika ukanda wa Afrika mashariki mahususi kwa ajili ya mashabiki wanaozungumza kiswahili.
VICTOR AD kwa sasa yuko katika kutembelea vituo mbalimbali vya radio Na tv nchini Nigeria kwa ajili ya kusambaza na kuitangaza EP yake ya NOTHING TO PROVE EP.
Pia yuko mbioni kuja ukanda Huu wa Afrika mashariki kwa ajili ya kufanya kazi Na wasanii pendwa wa EA Na kutangaza EP yake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...