Mkurugenzi wa Kitengo Vodacom Business ndani ya kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC Arjun Dhilon (kushoto) akizungumza na wajasiriamali Wanawake wakati wa maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali Tanzania wenye lengo la kukuza biashara zao kupitia kampeni ya kampuni hiyo ya Pamoja Tukuze Biashara Yako iliyo chini ya muunganiko wa kidunia wa ‘SheMeansBusiness’.




Mkurugenzi wa Kitengo Vodacom Business ndani ya kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC Arjun Dhilon (kulia) akiwasikiliza wajasiriamali wanawake wakati wa maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali Tanzania wenye lengo la kukuza biashara zao kupitia kampeni ya kampuni hiyo ya Pamoja Tukuze Biashara Yako iliyo chini ya muunganiko wa kidunia wa ‘SheMeansBusiness’.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Vodacom Business ndani ya kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC Arjun Dhilon (kulia) akimkabidhi fulana Mkurugenzi na Mwanzilishi wa Tanzania Saccos Women Entrepreneurs (TASWE Saccos) Anna Matinde wakati wa maonyesho ya bidhaa za wajasiriamali Tanzania wenye lengo la kukuza biashara zao kupitia kampeni ya kampuni hiyo ya Pamoja Tukuze Biashara Yako iliyo chini ya muunganiko wa kidunia wa ‘SheMeansBusiness’

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...