
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes, alipokuwa akizungumza katika Kikao kilichofanyika ofisi ya Waziri huyo, Mtumba, Jijini Dodoma,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kushoto), akimsikiliza Mjumbe wa Sinodi ya Kanisa Anglikana, Dkt. John Kalaghe (kulia), alipokuwa akizungumza katika Kikao na viongozi hao kilichofanyika ofisi ya Waziri huyo, Mtumba, Jijini Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kanisa la Anglikana Nchini baada ya Waziri huyo kuzungumza na viongozi hao ofisini kwake, jijini Dodoma, leo. Wapili kulia ni Askofu wa Kanisa hilo, Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes na watatu kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Kati Tanganyika/Dodoma, Dickson Chilongani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...