Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Sanjay Rughani (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Vodacom Tanzania Plc Sitholizwe Mdlalose (wa pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati ya hafla ya kumuaga Hisham Hendi. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc iliandaa halfa ya kumuaga Hendi mwishoni mwa wiki huku Ikimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Sitholizwe Mdlalose.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela (kushoto) akiteta na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania Plc Sitholizwe Mdlalose (kushoto) wakati wa hafla ya kumuaga Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc iliandaa halfa ya kumuaga Hendi mwishoni mwa wiki huku ikimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Sitholizwe Mdlalose. Kati kati ni Hisham Hendi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla ya kumuaga Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc iliandaa halfa ya kumuaga Hendi mwishoni mwa wiki huku ikamkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Sitholizwe Mdlalose.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Sanjay Rughani (wa tatu kulia) akifuatilia kwa umakini hafla ya kumuaga Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc iliandaa halfa ya kumuaga Hendi mwishoni mwa wiki huku ikimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Sitholizwe Mdlalose.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...