Bei za matunda kwenye Soko Kuu la Kariakoo aina Parachichi ni shi 1000,200 .Embe kati ya Sh.1000 hadi Sh 1500/= bei hiyo kwa rejareja leo 06 Octoba 2021 jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi.
Bei ya Ndizi Mbivu inauzwa kati ya Sh. 200 hadi Sh. 300. leo kwenye Soko Kuu la Kariakoo leo 06 Octoba 2021 jijini Dar es Salaam.
Bei ya Tikiti Maji kwenye Soko Kuu la Kariakoo kati ya Sh 500 hadi Sh. 3000.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.)
Bei ya tufaa 'Apple' ni shlingi 700.hadi 1000 kwenye Soko Kuu Kariakoo leo 06 Octoba 2021 jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...