Wakazi wa Temeke wakiwa na Mikokoteni iliyobeba Miwa leo kado ya Barabara ya Kilwa wakiuza miwa hiyo kwa abiria wanaofika kwenye kituo cha Daladala cha Temeke wanaotoka maeno mbalimbali ya jiji la Dar esalaam jambo ambalo ni hatali kwa usalama wa maisha yao.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michzi Tv) 

Kazi ikiendelea


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...