Afisa Maktaba Mwandamizi, Khalid Mohamed akitoa elimu kuhusu Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sejeli iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021



Afisa Sheria Mwandamizi, Bw. Seraphine Tamba akimkabidhi zawadi ya vitabu Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari Kongwa, Bi. Milka Milanton baada ya Maafisa wa Bunge kutoa elimu kuhusu Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kongwa iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021



Afisa Mkuu kutoka idara ya Shughuli za Bunge, Bi. Asia Minja akitoa elimu kuhusu Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kongwa iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021



Maafisa wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ofisi ya halmashauri ya Wilaya ya kongwa walipotembelea Wilaya hiyo kwa ajili ya kutoa elimu kwa umma kuhusu Bunge kwa Shule za Sekondari Kongwa na Sejeli, Octoba 9, 2021



Katibu Kamati Mwandamizi, Bi. Pamela Pallangyo akitoa elimu kuhusu Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sejeli iliyopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021



Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kongwa akifuatilia mada kuhusu Bunge zinazotolewa na Maafisa wa Bunge Shuleni hapo Mkoani Dodoma, Octoba 9, 2021.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...