Leo maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, Shirika la Posta Makao Makuu limetembelea na kutoa misaada mbalimbali kwenye Hospitali ya Mwananyamala, Jijini Dar es Salaam. 

Wagonjwa waliopata misaada hiyo ni wale wenye  matatizo mbalimbali ikiwemo magonjwa ya ndani, kutoka wodi ya wanaume katika hospitali hiyo. Zoezi hilo la utoaji misaada lililoongozwa na Mwakilishi wa Postamasta Mkuu, Ndugu Mashala Lufunga.Mwakilishi wa Postamasta Mkuu,Mashala Lufunga (kulia) akimkabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Ndani Hospital Mwananyamala,Dkt. Pantaleo Joseph kwa ajili ya wagonjwa wenye  matatizo mbalimbali ikiwemo magonjwa ya ndani, kwenye wodi ya wanaume katika hospitali hiyoMwakilishi wa Postamasta Mkuu,Mashala Lufunga (kushoto) akimkabidhi msaada wa vitu mbalimbali Mgonjwa kwenye kwenye wodi ya wanaume katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.Kaimu Afisa Muuguzi Msaidizi Magonjwa ya Ndani Hospitali Mwananyamala,Miriam Kijumbe(wapili kulia )akizungumza huku akiishukuru Shirika la Posta  kwa msaada huo leo jijini Dar es Salaam.


Picha ya pamoja
Mwakilishi wa Postamasta Mkuu,Mashala Lufunga (kushoto) akimkabidhi vitu mbalimbali Kaimu Afisa Muuguzi Msaidizi Magonjwa ya Ndani Hospitali Mwananyamala,Miriam Kijumbe leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...