Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey
Kasekenya(wa tatu kushoto kwa waliokaa), akiwa katika picha ya Pamoja na
Wakurugenzi wa Sekta ya Uchukuzi na
wadau waliohudhuria Mkutano wa 14 wa
Mapitio ya upimaji utendaji kazi wa sekta ya Uchukuzi (JTSR-2021) katika Ukumbi
wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
Washiriki wa Mkutano
wa 14 wa Mashauriano ya Wadau wa sekta
ya Uchukuzi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi , Mhandisi Godfrey
kasekenya(hayupo pichani) wakati wa akifungua
mkutano huo, Jijini Dar es salam.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya
Uchukuzi), Bw. Aunyisa Meena ,akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa 14 wa mapitio
ya Utendaji kazi wa Sekta ya Uchukuzi(JSTR 2021), katika Ukumbi wa Julius
Nyerere Jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey
Kasekenya akikagua baadhi ya mabanda yaliyoshiriki kwenye Mkutano wa 14 wa mapitio ya Utendaji kazi wa
Sekta ya Uchukuzi(JSTR 2021), katika Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es
salaam.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey
Kasekenya akihutubia Mkutano wa 14 wa mapitio ya Utendaji kazi wa Sekta ya Uchukuzi(JSTR 2021), katika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...