Na Amiri Kilagalila,Njombe

Bi. Anes Haule (45) na mume wake Menluph Ngailo (45) wakazi wa kitongoji cha Itacha kijiji cha Lupande kata ya Mawengi wilayani Ludewa mkoani Njombe wameuawa kwa kukatwa mapanga wakiwa wamelala nyumbani kwao na watu wasiojulikana.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amethibitisha


TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI PUNDE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...