Afisa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi
ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Kinondoni, Mohamed Abeid, akiwasikiliza wanachama na
wadau waliofika kupata huduma katika Ofisi za Mfuko wakati wa Wiki ya Huduma
kwa Wateja.Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa
Kinondoni, Joseph Fungo (katikati) akiwahudumia baadhi ya wanachama waliofika
kupata huduma katika Ofisi za NSSF Kinondoni, wakati wa Wiki ya Huduma kwa
Wateja.
Baadhi ya wanachama na wadau wa NSSF wakisubiri kupata
huduma katika Ofisi za Mfuko huo Kinondoni, ikiwa ni Wiki ya Huduma kwa Wateja
Afisa Mwandamizi Mkuu wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa
Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Kinondoni, Weraisaria Mushi (kushoto)
akimsikiliza kwa makini mwanachama wa NSSF aliyefika katika ofisi hizo kupata
huduma wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Joseph Fungo (kushoto) akimuhudumia mwanachama aliyefika kupata huduma wakati
wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.Meneja wa Huduma kwa Wateja wa NSSF, Robert
Kadege (kushoto) akiwahudumia wanachama na wadau waliofika kupata huduma
mbalimbali katika Ofisi za Mfuko huo Kinondoni, wakati wa Wiki ya Huduma kwa
Wateja.
Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu
Mengele, akimuhudumia mwanachama katika Ofisi za NSSF Kinondoni, wakati wa Wiki
ya Huduma kwa Wateja.
Baadhi ya wanachama wa NSSF wakiendelea kupata huduma
mbalimbali katika Ofisi za NSSF Kinondoni ikiwa ni Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya
Jamii (NSSF), wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi ya Wiki ya
Huduma kwa Wateja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...