Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Ujenzi Mhe. Makame Mbarawa pamoja na baadhi ya watendaji Wakuu wa Wizara hiyo mara baada ya   kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro mara baada ya   kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Kwa ajili ya kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita  32.2. 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa katika Eneo la Mawezi Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...