Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Msanii Ikuzi Kicheko (Mzalendo Halisi) baada ya kuonesha usanii wake kwenye Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo tarehe 23 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mwenyekiti wa UWT Mama Gaudensia Kabaka baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo tarehe 23 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mara baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo tarehe 23 Oktoba, 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...