Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa wilaya ya Liwale, Dkt. Gloria Andrew kuhusu maabara ya Hospitali ya wilaya hiyo inayojengwa na serikali wakati alipokagua ujenzi wake, Oktoba 7, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Liwale unaogharimiwa na serikali akiwa katika ziara ya Mkoa wa Lindi Oktoba 7, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...