Naibu waziri wa Fedha wa nchini Czech, Karel Tyll akikata utepe mara baada ya kuwakabidhiTaasisi ya Kansa ya Ocean Road  msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Msada huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.
Viongozi mbalimbali Wakipiga makofi mara baada ya kukata utepe wakati wa kukabidhi msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Msada huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani (ORCI), Dkt.Julius Mwaiselage akizungumza akati wa Taasisi ya Kansa ya Ocean Road wakipokea msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Mssda huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.

Balozi wa Czech nchini hapa nchini, Martin Klepetko akizungumza wakati wa kutoa msaada katika Taasisi ya Kansa ya Ocean Road  wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Msada huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.
Balozi wa Czech nchini hapa nchini, Martin Klepetko akizungumza wakati wa  kutoa msaada katika Taasisi ya Kansa ya Ocean Road  msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Msada huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.
Picha ya pamoja mara baada ya Kukabidhiana msaada wa Vitanda Viwili kutoka nchini Czech leo Oktoba 10, 2021 jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi  wa Idara ya Magonjwa yasiyoambukiza kutoka  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Omary Ubuguyuakizungumza wakati wa Taasisi ya Kansa ya Ocean Road wakipokea msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Msada huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Dkt. Abdalah Possi akizungumza wakati wa Taasisi ya Kansa ya Ocean Road wakipokea msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Msada huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.
Mkurugenzi wa kampuni ya Gama Pharmaceutical, Qutibah Salahedeen Ahmed akizungumza wakati kutoa msaada katika Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, msaada wa vitanda viwili vya kieletroniki kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi wakati wa kutoa huduma kwa wajongwa walio katika hali mbaya. Mssda huo umetolewa leo Oktoba 07, 2021 katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na Sreikali ya Jamhuri ya Muungano ya Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical.
Meza kuu
Washiriki




TAASISI ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) ya jijini Dar es Salaam imepokea msaada wa vitanda viwili (2) vya kieletroniki kutoka nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Czech wakishirikiana na kampuni ya Gama Pharmaceutical kwaajili ya kumsaidia mgonjwa na muuguzi bila kutumia nguvu.

Akizungumza mara aada ya kupokea msaada huo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani (ORCI), Dkt.Julius Mwaiselage jijini Dar es Salaam leo Oktoba 07, 2021 amesema kuwa msaada walioutoa serikali ya jamuhuri ya Czech ni dola 8000 ambazio ni sawa na shilingi milioni 18.

Mwaiselage amesema kuwa mahitaji ya taasisi hiyo ni vitanda 25 vinavyotumi umeme au vya kieletrniki, vilivyokuwepo ni 8 sasa huku bado kunamahitaji ya vitanda vingine 17 ili kutimia 25.

“Mahitaji ya vitanda hivi vinavyotumia umeme ni 25 sasa tuanavyo 8 tunahitaji vitanda vingine 17 vinavyotumia umeme, vitanda vingine vipo lakini sio vya umeme.” Amesema Mwaiselage

Hata hivyo Mwaiselage ameiomba kampuni ya kitanzania ya Gama Pharmaceutical iliyoshirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Czech kusaidia kupata vitanda vingine 17 ili kuendelea kutoa huduma inastahili kwa wagonjwa hospitalini hapo.

Amesema kuwa vitanda hivyo vinahitajika Zaidi katika hospitali hiyo kwani wagonjwa wa Saratani wameongezeka nchini kwa asilimia 60 hadi 70 wanaenda hospitali wakiwa na hali mbaya hadi hawawezi kutembea, hivyo vitanda hivyo vinaweza kufanya kazi nyingi vyenyewe vitakuwa ni mhimu zaidi.

Mwaiselage amesema kuwa vitanda hivyo vitatumia umeme kwaajili ya kumpandisha mgonjwa juu au chini, vinabinuka kulingana na inavyotakiwa na Muuguzi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Magonjwa yasiyoambukiza kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Omary Ubuguyu amesema kuwa vitanda vinavyotumia umeme vinahitajika Zaidi katika hospitali zinazotoa huduma ya dharula, sehemu ambazo zinatolewa huduma za wagonjwa mahututi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...