Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021, Kwa lengo la kutembelea na kuona hali ya uzalishaji wa mbolea kiwandani hapo hasa kwa kipindi hiki ambacho tunaelekea katika msimu wakilimo.

Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi katika Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021, Katikati ni kurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans

Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akimuonesha jambo Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021

Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda  na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans wakizungumza mara baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021

Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akimsikiliza  Mkurugenzi Mtendaji waKiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans alipokuwa akimuonesha bei mbalimbali za mbolea katika kipeperushi wakati akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimuonesha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda aina mbalimbali za mbolea wakati alipokuwa  akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021

Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans alipokagua mgodi unaochimbwa madini ya kutengenezea mbolea.

Moja migodi inayochimbwa madini ya kutengenezea mbolea katika kiwanda cha mbolea cha Minjingu Minjingu Mines Firtlizer Limited 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimuonesha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda maeneo mbalimbali yanayochimbwa madini ya kutengenezea mbolea wakati akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021

Baadhi ya wataalam wa kiwanda hicho wakipima udongo kwa ajili ya kutengenezea mbolea.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimuonesha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda maeneo ya kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Minjingu Mines Firtlizer Limited Bw. Tosky Hans akimpitisha Waziri wa Kilimo Mhe. Profesa Adolf Mkenda maeneo mbalimbali wakati akitembelea katika kiwanda hicho kilichopo Minjingu Wilayani Babati Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 8,2021

Muonekano wa baadhi ya maeneo ya kiwanda hicho.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...