Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, CGP Suleiman Mzee akipokea salaam ya heshima kutoka katika Gwaride maalum la wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili leo Novemba 19, 2021 katika Chuo cha Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es Salaam..
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, CGP Suleiman Mzee akimvisha cheo cha Mkaguzi Msaidizi wa Magereza Mhitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Magereza Daraja la Pili ambaye amefanya vizuri kwa upande wa Gwaride. Mhitimu huyo amevishwa cheo hicho kwa niaba ya Wahitimu 426 wa Mafunzo hayo.
Maafisa wahitimu katika Sherehe za kufunga mafunzo ya uongozi Daraja la Pili leo Novemba 19, 2021 Chuo cha Urekebishaji Tanzania(TCTA) Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee akikagua Gwaride Maalum katika Sherehe za kufunga mafunzo ya uongozi Daraja la Pili leo Novemba 19, 2021 Chuo cha Urekebishaji Tanzania(TCTA) Ukonga jijini Dar es Salaam.
Gadi ya Maafisa na askari katika Sherehe za kufunga mafunzo ya uongozi Daraja la Pili leo Novemba 19, 2021 Chuo cha Urekebishaji Tanzania(TCTA) Ukonga jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...