Matukio
mbalimbali Pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai
Nchini (DCI) Camilius Wambura na Mkuu wa Interpol Tanzania SACP Gemin
Mushi waliposhiriki katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Polisi
wa Kimataifa - Interpol ulioanza rasmi leo 23 - 25 Nov 2021 uko
Instanbul nchini Uturuki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...