KAMPUNI ya simu ya mkono ya tecno imezindua simu mpya ya Tecno Cammon 18 yenye camera za kitaalamu inayomuwezesha mtumiaji kupiga picha ama kuchukua video kwa kutumia mkono wake bila ya kutingishika.
Akizungumza katika warsha ya uzinduzi huo, Afisa Masoko wa Kampuni hiyo William Mota amesema Camera hiyo inyoitwa Gimbo inamuwezesha mtumiaji wa simu kuweza kuchukua picha katika mazingira tofauti.
"Simu hii mpya ya ina Teknolojia ya Gimbo kamera ambayo inamruhusu mtumiaji kurekodi video na kupiga picha akiwa kwenye nch mwendo wa aina yoyote ile, hivyo simu hii ni mkombozi kwa wajasiliamali, wafanyabiashara ma wengine wengi ambao wanaweza kutumia kupiga picha na kuweka mitandaoni.
Tunaboresha hivi vitu sababu dunia inakwenda ki digitali zaidi. Tunaona mitandao ya kijamii inatumika kutangaza biashara, uyanisaidia mm na ww na yeyote nm ile kwa kazi zake..
Ina muonekano mzuri, ina Feuters kubwa mbili ambazo haziwaji kuwepo kwenye simu yoyote ya Camon
Kina Gimbo Camera ambayo inasaidia unapochukua video isiweze kutikisika. Unaposhika simu ukichukua video inaweza kutikisika Katika hali ya ubinadamamu lakini CB camera inapokuwa na hiyo Gimbo simu ama video haiwezi kutikisika. Sixty x uwezo wa camera kuzoom mpaka mara 60 zaidi unazoom zaidi lakini unapata picha picha iliyo clear kama kawaida. Uwezo wa camera hii ni mkubwa sana.Afisa Masoko wa Kampuni hiyo William Mota akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Tecno Cammon 18.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...