WAJASIRIAMALI wa matunda kwenye masoko mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wameeleza kuwa kwa sasa matunda yameongezeka, kwa sasa wakibainisha wazi bei ambazo wanauza kwa wateja wao wanaotoka maeno mbalimbali ya jiji.
Wakizungumza leo na Michuzi Tv jijini Dar es Salaam wajasiriamali hao kuhusu bei ya matunda katika maeneo yao ya biashara. Bei hizo ni kama ilivyo hapo chini.
Bei ya Nanasi katika Soko la Ilala Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam linauzwa kati shilingi 500 hadi shilingi 3000.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Bei ya Embe kwenye soko la Mwananyala wilaya ya Kinondoni jijini la Dar es Salaam ni kati ya Sh.500 hadi Sh.1000. 
Bei ya Tikiti maji ni katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam ya Sh.1000 hadi Sh. 4500.Bei ya Mapapai katika ni kati ya Sh.1000 hadi Sh.2500.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...