Mlau, Cyriacus Binamungu akiongoza maandamano ya wanataaluma kuelekea katika eneo la mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro kuashiria mwanzo wa mahafali hayo yaliyofanyika leo Novemba 25, 2021 mkoani Morogoro ambapo jumla ya wanachuo zaidi ya Elfu Nne wamehitimu.


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka akitoa nasaha zake wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro yaliyofanyika leo Novemba 25, 2021 mjini Morogoro.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamivu wahitimu wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro yaliyofanyika leo Novemba 25,2021 mjini Morogoro.
Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro yaliyofanyika leo Novemba 25,2021 mjini Morogoro.

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika mahafali hayo leo Novemba 25,2021 mjini Morogoro.Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa chuo hicho.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...