Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakiagana na wafanyakazi wa kiwanda cha maji cha Tukuyu Spring Water baada ya kutembelea kiwanda hicho eneo la Kibisi Tukuyu mkoani Mbeya, Novemba 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha maji cha Tukuyu Spring Water kilichopo Kibisi, Tukuyu mkoani Mbeya baada ya kutembelea kiwanda hicho, Novemba 27, 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homela na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mbeya, Mchungaji Jacob Mwakasole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Meneja Mkuu wa kiwanda cha maji cha Tukuyu Spring Water, Godfrey Ng’wanang’walu kuhusu uzalishaji wa maji wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kibisi, Tukuyu mkoani Mbeya, Novemba 27, 2027. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...