Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi wakikagua gwaride maalum la Jeshi la Misri baada ya Rais Samia kuwasili Ikulu Cairo nchini Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021kwa ajili ya kuanza ziara ya Kiserikali ya siku tatu  kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi ujumbe aliofuatana nao kwenye ziara yake ya Kiserikali ya siku tatu  chini Misri iloanza leo  tarehe 10 Novemba 2021 kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi alipowasili Ikulu Cairo Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021 kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku tatu  kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi alipowasili Ikulu Cairo Misri leo tarehe 10 Novemba, 2021 kwa ajili ya ziara ya Kiserikali ya siku tatu  kufuatia mwaliko wa Rais wa Abdel Fattah Al Sisi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Cairo Misri mara baada ya Viongozi hao kushuhudia utiaji saini Hati za makubaliano ya Elimu, Elimu ya Juu na Michezo kati ya Tanzania na misri leo  tarehe 10 Novemba 2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...