Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kwenye mjadala wa Viongozi Wanawake wa Afrika (AWLN) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 20 Novemba 2021 Ikulu Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kwenye mjadala wa Mtandao wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (AWLN) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 20 Novemba 2021 Ikulu Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...