RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja hivyo lililofanyika leo.20-11-2021 Zanzibar



WANANCHI wa Zanzibar na Mikoa mengine wakishangilia wakati wa Mkutano ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Sharifa Omar KhalfanI wakifuatilia mkutano wa kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



WAKE Viongozi wakifuatilia Mkutano wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



VIONGOZI Wastafu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na UWT katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



WANACHAMA wa (UWT) wakishangilia wakati wa hafla ya Mkutano Maalum wa kumpogeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) mkutano uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.



VIONGOZI wa Jumuiya za Chama cha Mapinduzi wakiwemo Wabunge na Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja,wakati wa hafla ya mkutano wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania uliofanyika leo 20-11-2021, katika viwanja vya Maisara Suleiman.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano maalum ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa kumpongeza uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



VIONGOZI Wastaafu wa UWT wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutubia katika hafla ya mkutano maalum wa kumpongeza ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mama Fatma Karume, baada ya kumalizika kwa mkutano maalum ulioandaliwa na (UWT) kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, uliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...