RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Wineaster Saria Anderson kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).

Katika taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu,
Jaffar Haniu iliyotolewa leo Novemba 9, 2021 imeeleza kuwa
Prof. Anderson anachukua nafasi ya Prof. Eleuther Mwageni ambaye alifariki mwezi Julai, 2021.

Uteuzi huo umeanza tarehe 07 Novemba, 2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...