Afisa Udhibiti Ubora wa NHIF Dk.Peter Nyakubenga  akionesha wateja aina ya vifurushi vya Bima ya Afya vinavyotolewa na NHIF kwenye maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Sheikh Issa Ponda akipata maelezo na huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kutoka Afisa Udhibiti  Ubora wa Mfuko huo Dk.Peter Nyakubenga  wakati sheikh Ponda alipotembelea banda la NHIF katika wiki ya maonesho huduma za Kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijoni Dar es Salaam.

Sheikh Issa Ponda akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la NHIF kwenye  maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Luhende Singu akimpa maelezo mwananchi aliyetembelea banda la NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko Mkuu wa NHIF Luhende Singu akizungumza na mteja kuhusiana na huduma za vifurushi vya bima na namna ya matibabu yanayopatikana ni katika hospItali zote za binafsi na serikali.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...