*Bashiri Na Meridianbet, Uwe Na Uhakia Wa Ushindi Mkubwa!
BAADHI ya ligi kuendelea wiki hii. Bundesliga na EPL ndio kumenoga zaidi. Miamba kadhaa kushuka viwanjani kuchuana ndani ya dakika 90. Mambo yapo hivi;
Jumanne hii, Dean Smith ataiongoza Norwich City dhidi ya Aston Villa. Smith
anawakaribisha Villa ambao ni vijana wake aliowafundisha kwa muda mrefu kabla
ya kutimuliwa Villa Park. Aston Villa hii ya Steven Gerrard sio aliyoiacha
Smith. Lakini, Norwich ya Smith pia, sio aliyoiacha Daniel Farke – mambo
yamebadilika. Odds ya 2.35 ipo kwa Villa kupitia Meridianbet.
Kwenye Bundesliga, VfB Stuttgart watawaalika vinara wa ligi hiyo,
Bayern Munichen. Kwa siku za hivi karibuni, Bayern wamekuwa
wakiruhusu nyavu zao kutingishwa, itakua hivyo na leo? Shujaa wako ni nani
kwenye mtanange huu? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.27 kwa
Bayern.
Kule jijini London, Emirate Stadium
itasimamia mchongo wa London Derby. Ni Arsenal vs West Ham United. The
Gunners wapo kwenye kiwango thabiti lakini, The Hammers pia wapo kwenye ubora
mkubwa msimu huu. Arteta vs Moyes – nani ni nani? Ifuate Odds ya 2.20 kwa Arsenal ukiwa na
Meridianbet.
Augsburg watawaalika RB Leipzig katika
muendelezo wa Bundesliga Jumatano hii. Timu zote zinahitaji pointi 3 muhimu
kwao. Uwezo wao uwanjani, hawapishani sana. Dakika 90 zinaweza kutoa matokeo ya
faida kwako. Dau lako unaliweka kwa nani? Odds ya ushindi ni 1.49 kwa Leipzig.
Funga wiki yako kwa mtanange wa EPL, Leicester City vs Tottenham Hot Spurs! Timu hizi zinafundishwa na makocha wenye weledi mkubwa kwenye mchezo wa soka, utofauti wa mbinu zao, unaweza kutoa burudani ya tofauti kwa mashabiki wa mchezo huu. Kwenye upande wa soko la kubashiri, Odds ya 2.16 imewekwa kwa Leicester ndani ya Meridianbet.
Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...