Ghana 4 Kenya 0
TIMU ya Ghana imefuzu kuingia nusu fainali za mashindano ya Mpira wa miguu ya Bara la Afrika (CANAF 2021) baada ya kuibamiza Kenya mabao 4-0 katika mechi na Kenya.
Mechi hiyo imechezwa leo Disemba 1, 2021 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.
Kabla ya mechi hii kulikuwa na mechi ya awali kati ya Tanzania na Cameroon ambapo Timu ya wenye ulemavu ya Tanzania imeandika historia kuwa timu ya kwanza Tanzania ya soka kufuzu kuingia kombe la dunia baada ya kuibamiza Cameroon goli 5-0.
Magoli mawili ya Ghana yamefungwa na Yussuf Yahaya dakika ya 20 na 43, Fesieni Iddi dakika ya 18, na Mohame Mubarik dakika ya 46.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...