Waziri wa Uchumi wa Buluu na uvivu Mh.Abdalla Hussein Kombo Akitoa taarifa ya mafanikio na utendaji wa Wizara yake, kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Hassan Hassan akiuliza swali kuhusu uchumi wa Buluu katika hafla ya utoaji wa taarifa ya mafanikio na utendaji wa Wizara ya hiyo, ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,taarifa hiyo ilitolewa na Waziri wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mh.Abdalla Hussein Kombo Huko Ukumbi wa Wizara ya utalii Kikwajunu Zanzibar .PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...