Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Kampuni ya East African Starch Limited cha Songwe, Barakat Ladhani wakati alipotembelea kiwanda hicho, Novemba 30, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa kiwanda cha Kampuni ya East African Starch Limited cha Songwe wakati alipotembelea kiwanda hicho, Novemba 30, 2021. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda, Barakat Ladhani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha Kampuni ya East African Starch Limited cha Songwe, ElililiaUsiri wakati alipotembelea kiwanda hicho, Novemba 30, 2021. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya mjini, Dkt. Tulia Ackson. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wenigine wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazai wa kiwanda cha Kampuni ya East African Starch Limited cha Songwe wakati alipotembelea kiwanda hicho, Novemba 30, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...