Mkurugenzi Mkaazi USAID Nchini Tanzania Kate Somrongsiri akimkabidhi zawadi maalum Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui mara walipofika ofisini kwake Mnazimmoja na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya .

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akimkabidhi mlango na karafuu ikiwa ni zawadi maalum kutoka kwa Wizara ya Afya mara walipofika Ofisini na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya .

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi USAID Nchini Tanzania Kate Somrongsiri na Ujumbe wake mara walipofika Ofisini kwake na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya .
PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...