*Mchanganyiko Wa Sloti ya Kuvutia Na Rahisi!
*Wild Icy Fruits –Mchezo wa mtandaoni uliotengenezwa na wababozi, Expanse Studios!
WILD Icy Fruits ni mchezo rahisi
unaopatikana kwenye sloti ya mtandaoni, una reels 5, safu 4 na mistari 40 ya malipo. Muonekano wa sehemu
zilizoganda ukikinzana na milima iliyofunikwa kwa barafu, inakamilisha mandhari
ya baridi.
Matikiti na machungwa yanaongeza
utamu wa mchezo, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7 – unatoa malipo
makubwa yanayowezekana kwa alama 5 zilizopo kwenye mstari mmoja. Kwa mara
nyingi, upekee wa Expanse unaonekana kwenye mchezo huu ambao unakuja ukiwa na scatters na wilds.
Alama 5 za wilds kwenye
mchanganyiko wa ushindi, utakuongezea mara 25 ya dau lako, wakati scatter
5 zikiangukia sehemu yeyote ya reels, itakuongezea mara 500 ya dau lako.
Uwanda wa kubashiri, unawafaa wachezaji wa kila aina, inaanzia chini zaidi kwa koini 4 kwa mzunguko na kuongezeka mpaka koini 50 kwa kila mstari au 2.000 kwa mzunguko.
Kwa kuongezea kwenye kuwa
miongoni mwa alama inayolipa zaidi mezani, Wilds zitawasaidia wachezaji wakati
wakiwa mchezoni kwa kuochukua nafasi ya alama zingine za kawaida. Kimsingi, haziwezi
kuchukua nafasi ya scatters.
Kwa kuzingatia kua mchezo
hauongezi mizunguko ya bure, scatters zitatoa malipo bila kujali nafasi zake
kwenye mchezo. Lakini, Expanse Studios hawajatuandalia hayo tu!
Wakati unazungusha reels, kunauwezekano wa kushinda jakipoti 1 kati
ya 3 zilizopo – Mini, Midi
na Mega. Zawadi za jakipoti hazinamuendelezo, inamaana kuwa, hazitategemea
hatua yako ya kubashiri. Inavutia!
Baada ya kutoa bidhaa bora
mitandaoni kwa muda mrefu kama vile Titan Roulette Deluxe, Casino Heist na Fairy in Wonderland, Expanse
Studios hawaachi kuwashangaza wachezaji ulimwenguni kote kwa uwezo mkubwa wa
ubunifu.
Ni uhalisia kuwa, wameweza kuleta
mchezo mrahisi ambao, muonekano wake ni sehemu kubwa ya kubashiri pamoja na
sifa ya bonus za kuvutia ambazo zitakupeleka kwenye zawadi na jakipoti kubwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...