Rais Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipokua akiondoka kwenda Mkoani Dodoma leo tarehe 14 Desemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipokua akiondoka kwenda Mkoani Dodoma leo tarehe 14 Desemba 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...