Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbopo kata ya Mabwepande wilaya ya Kinondoni Ndugu Bushir Mziwanda akizungumza na wananchi wa mtaa huo leo katika mkutano wa utekelezaji wa Irani ya chama cha Mapinduzi 2020,2021 (CCM). Katika mazungumzo yake amewaomba Wananchi wa eneo hilo kuchapa kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo,ikiwemo pia kuwatahadharisha baadhi ya Wananchi katika mtaa huo kuhakikisha wanajiepusha na migogoro ya Ardhi ambayo imekuwa kikichelewesha kasi ya maendeleo ndani ya mtaa huo . (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Mbopo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mtaa huo alipokuwa akizungumza nao mambo mbalimbali ya kujiletea maendeleo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...