Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kilichokutana leo tarehe 18 Desemba, 2021.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo walipokua wakitoka nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...