Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo ya walipa kodi wakubwa Afisa
Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi Ruth Zaipuna wakati wa Kongamano la
wawekezaji lililofanyika
Zanzibar ikiwa ni siku mbili kabla Maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka
60 ya Uhuru wa Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...