Msaidizi wa Rais
(Mnikulu) Bw. Said Ali Juma akikabidhi Mbuzi, Mafuta ya kupikia pamoja na Mchele
kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwenye
Kituo cha Nyumba ya Amani na Furaha (Missionaries of Charity Mother Teresa
Children’s Home) kilichopo Mburahati Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya
kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya leo tarehe 23 Desemba, 2021.
Msaidizi wa Rais
(Mnikulu) Bw. Said Ali Juma akikabidhi Maziwa, sabuni pamoja na pampers za
watoto kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, kwa Mlezi wa Kituo cha Kulea Watoto wanaoishi katika Mazingira
Hatarishi Sister Stella Selugenge leo tarehe 23 Desemba, 2021. PICHA
NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...