SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limetunikiwa cheti na cha ubora wa muonekano wa Banda pamoja na mipangilio ya bidhaa zilizooneshwa(high standard of Display) wakati wa Maonesho ya bidhaa za viwandani yaliyomalizika tarehe 9 Disemba 2021.
Cheti hicho kimetolewa na Tantrade wakati wa kufunga maonesho yaliyofanyika katika kisiwa cha Zanzibar.
Historia imejirudia tena kwani STAMICO ndio walikuwa washidi wa Jumla katika Maonesho ya Sabasaba 2021,(Overall Winner) na mshidi wa vikombe vitatu tofauti wakati wa Maonesho ya Madini yaliyofanyika Mkoani Geita.
Ni jambo la kujivunia kwa Shirika la Madini la Taifa kwa mafanikio haya makubwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...