Mshambuliaji  wa Timu ya Mpira wa Miguu  ya Bunge la Tanzania, Mhe. Simai Hassan Sadiki  akijiandaa kuwatoka mabeki wa Timu ya Zanzibar wakati wa mechi kati yao ya mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1.

Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania wakishangilia baada ya kusawazisha goli moja dhidi ya Timu ya Zanzibar lililofungwa na Mhe. Ali Omar King wakati wa mechi kati yao ya mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1.

Beki wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Mhe. Mussa Ramadhani Sima akiondoa mpira mbele ya washambuliaji wa Timu ya Zanzibar wakati wa mechi kati yao ya mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1.

Mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Mhe. Ridhiwani Kikwete akijiandaa kucheza mpira wa kichwa mbele ya Beki wa Timu ya Zanzibar wakati wa mechi kati yao ya mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1.
Nahodha wa Timu ya Mpira wa Miguu  ya Bunge la Tanzania, Mhe. Cosato Chumi akimtoka kiungo wa Timu ya Zanzibar wakati wa mechi kati yao ya mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyochezwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1. (PICHA NA BUNGE.)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...