Mchezaji wa timu ya Bunge la Tanzania wa mpira wa wavu akifunga goli dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha
Wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania ya mpira wa wavu wakishangilia goli kwa namna yake dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha
Wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania ya mpira wa wavu wakiwa katika mchezo dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha
Wachezaji na mashabiki wa timu ya Bunge la Tanzania ya mpira wa wavu wakishangilia ushindi dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha, Disemba 14, 2021.
Wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania ya mpira wa wavu wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Bunge la Kenya katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo Jijini Arusha,
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...